સ્વાહિલી માં પ્રવાસ
પ્રવાસ: સફર, સ્થળો, પરિવહન અને રસ્તા પર જોઈતાં વાક્યો. શરૂઆતી થી પ્રવીણતા સુધીના તમારા સ્તરે સ્વાહિલી માં વાંચો અને સાંભળો, ઑડિયો, અનુવાદ અને ક્વિઝ સાથે.
પ્રવાસ વિશે સ્વાહિલી પાઠ
સમાચાર
બધા 5 જુઓ
પ્રવાસમધ્યમEnhance watchdog role
Committees review and expose flaws that could easily have been missed during the main debate.
Makosa yaliyozoeleka ya kutumia maneno ‘gonjeka’ na ‘sanasana’
LUGHA ya Kiswahili kama zilivyo lugha nyingine ina aina mbalimbali za maneno. Mojawapo wa aina hizo za maneno ni kitenzi. Kitenzi ni neno ambalo hutoa taarifa au ujumbe kuhusu jambo lililofanyika au litakalofanywa. Kuna baadhi ya watu wanaowasiliana kwa Kiswahili wenye mazoea ya kuunda kitenzi ‘gonjeka’ kutokana na nomino mgonjwa. Ingawa hakuna neno *gonjeka katika Kiswahili, ni kawaida kulipata katika mawasiliano watu wanapozugumzia mtu ambaye ana maradhi. Aghalabu utakumbana na sentensi kama vile: *Rafiki yangu hakuenda shuleni jana kwa sababu aligonjeka. *Watoto hao waligonjeka baada ya kunywa maji machafu. Ingawa ujumbe katika mifano hii ya sentensi unaeleweka,sentensi zenyenwe si sahihi. Ni kosa kusema mtu aligonjeka. Ili kuzisahihisha sentensi ya kwanza tunafaa kusema: Rafiki yangu hakuenda shuleni jana kwa sababu alikuwa mgonjwa. Vilevile, tunaweza kuisahihisha kwa kusema: Rafiki yangu hakuenda shuleni jana kwa sababu aliugua. Sentensi ya pili itasahihishwa kwa kusema: Watoto hao waliugua baada ya kunywa maji machafu. Pia kuna mazoea ya kuradidi kielezi sana na kuwa ‘sanasana’ ili kulitumia neno hilo katika sentensi kuleta maana ya kusisitiza ukweli. Mara kwa mara utakutana na sentensi kama vile: *Wanafunzi wengi walifaulu katika tathmini ya taifa sanasana katika somo la Kiswahili. Si sahihi kusema sanasana. Ili kuisahihisha sentensi hii tunafaa kusema: Wanafunzi wengi walifaulu katika tathmini ya taifa hasa katika somo la Kiswahili. Pia tunaweza kuisahihisha kwa kusema: Wanafunzi wengi walifaulu katika tathmini ya taifa hususan katika somo la Kiswahili.
પ્રવાસમધ્યમMiamba ya Ulaya Uwanjani Barça na Arsenal Kusaka Ushindi Leo
Mechi kali zinatarajiwa kupigwa kwenye viwanja mbalimbali huku tayari Meridianbet wakiwa wamekuwekea Odds za kuvutia. Je nani unampendelea zaidi kukupatia... The post Miamba ya Ulaya Uwanjani Barça na Arsenal Kusaka Ushindi Leo appeared first on Global Publishers.
વાર્તાઓ
બધા 120 જુઓસંવાદો
બધા 120 જુઓટૂંકા પ્રવચનો
બધા 120 જુઓપૉડકાસ્ટ
બધા 3 જુઓપ્રવાસ
Likizo kwa Treni
Mwaka jana Halima alisafiri kutoka Dar es Salaam hadi Mombasa kwa treni badala ya ndege. Yeye na Amina wanazungumza juu ya tiketi, viti, treni za usiku na kwa nini safari ya polepole hadi baharini ilikuwa sehemu bora zaidi ya likizo.
પ્રવાસ
Siku Yangu ya Kwanza Uwanja wa Ndege
Rafiki yake Otieno anaenda kusafiri kwa ndege kwa mara ya kwanza wiki ijayo. Juma na Amina wanaeleza siku moja uwanja wa ndege hatua kwa hatua, kutoka dawati la usajili hadi kiti chake ndani ya ndege.
પ્રવાસ
Ninapanga Begi Langu
Juma anaenda kumtembelea dada yake wiki ijayo, na Amina anamsaidia kujiandaa. Wanaongea kuhusu nini cha kubeba na jinsi ya kusafiri.


