હોમ/સમાચાર

Real news. Living language.

Explore daily news stories adapted to help you build reading and listening vocabulary.

Filter by
67 stories available
India na Uzbekistan Zaunda Muungano Mkubwa Zaidi na Uboreshaji wa Kimkakatiસમાજ અને વર્તમાન બાબતોA2
Rai A TanzaniaAug 31

India na Uzbekistan Zaunda Muungano Mkubwa Zaidi na Uboreshaji wa Kimkakati

TASHKENT, UZBEKISTAN / RankWire.AI / – Siku ya Jumapili, India na Uzbekistan ziliinua uhusiano wao hadi Ushirikiano Kamili wa Kimkakati, na kupanua ushirikiano katika nyanja muhimu za kiuchumi na usalama. Waziri Mkuu Narendra Modi na Rais Shavkat Mirziyoyev walitangaza maendeleo haya kufuatia majadiliano katika Makazi ya Kuksaroy huko Tashkent. Viongozi hao walipitia biashara, uwekezaji, usafiri [...] The post India na Uzbekistan Zaunda Muungano Mkubwa Zaidi na Uboreshaji wa Kimkakati appeared first on Rai A Tanzania.

Soma Gazeti la Jamhuri Septemba 1-7, 2026રમતગમતC2
JAMHURI MEDIAAug 31

Soma Gazeti la Jamhuri Septemba 1-7, 2026

Enhance watchdog roleપ્રવાસ અને સાહસB1
MwananchiAug 31

Enhance watchdog role

Committees review and expose flaws that could easily have been missed during the main debate.

Fake vacancies undermining public serviceવ્યવસાય અને કારકિર્દીB2
MwananchiAug 31

Fake vacancies undermining public service

Public office must remain a public trust rather than a commodity shuffled in the dark.

Why Batuk must fulfill moral, legal duty to Kenyan victimsવ્યવસાય અને કારકિર્દીA1
MwananchiAug 31

Why Batuk must fulfill moral, legal duty to Kenyan victims

For decades, host communities have carried the heavy burden of Batuk's presence.

Settle disputes to end airport workers’ strikeજીવનA2
MwananchiAug 31

Settle disputes to end airport workers’ strike

The disruption of flights is a huge business setback for the airlines, importers and exporters.

Indonesia yapanua uwekezaji wa michezo chini ya mkataba wa leseniપ્રેમ અને પરિવારB2
Rai A TanzaniaAug 31

Indonesia yapanua uwekezaji wa michezo chini ya mkataba wa leseni

JAKARTA, INDONESIA / RankWire.AI / – Indonesia imerasimisha ushirikiano mpya kati ya mamlaka yake ya uwekezaji na michezo ili kupanua shughuli za biashara katika sekta ya michezo ya kitaifa. Waziri wa Uwekezaji na Uwekezaji Rosan Perkasa Roeslani na Waziri wa Vijana na Michezo Erick Thohir walisaini makubaliano hayo mnamo Agosti 28. Mkataba huo unazingatia maendeleo [...] The post Indonesia yapanua uwekezaji wa michezo chini ya mkataba wa leseni appeared first on Rai A Tanzania.

Prof. Shemdoe apongeza mpango wa Mufti Bima Foundation kuwasaidia wananchi wasio na uwezoપ્રેમ અને પરિવારA2
JAMHURI MEDIAAug 31

Prof. Shemdoe apongeza mpango wa Mufti Bima Foundation kuwasaidia wananchi wasio na uwezo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amekutana na Naibu Mufti na Mjumbe wa Baraza la Ulamaa na Mkurugenzi wa...

Heartbreak as Kenya Police miss ticket to Caf Women’s Champions Leagueડરામણું અને રહસ્યB2
MwananchiAug 31

Heartbreak as Kenya Police miss ticket to Caf Women’s Champions League

Kenyan champions fall short in the final hurdle of regional club tournament.

TASAC yasitisha leseni za ICD na kufungia sitaરમતગમતA1
JAMHURI MEDIAAug 31

TASAC yasitisha leseni za ICD na kufungia sita

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (TASAC) imesimamisha utoaji waleseni mpya za Bandari Kavu za Makontena (ICD) kufuatia kuongezeka kwa malalamiko ya wananchi kuhusu vituo hivyo vinavyoanzishwa katikamaeneo ya mijini na kusababisha ongezeko la...

Askari Polisi Afariki Akiwa Mahabusu Kituo Cha Polisi Tangaપ્રેરણા અને હાસ્યC1
Global PublishersAug 31

Askari Polisi Afariki Akiwa Mahabusu Kituo Cha Polisi Tanga

Tanga — Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limethibitisha kifo cha askari wake, H.1796 Koplo Mwita, aliyekuwa akishikiliwa kwa ajili... The post Askari Polisi Afariki Akiwa Mahabusu Kituo Cha Polisi Tanga appeared first on Global Publishers.

Shalulile na Mudathir Waipeleka Yanga Kileleni, Yawafunga Fountain Gate 2-0મોટા થવાના પાઠA2
Global PublishersAug 31

Shalulile na Mudathir Waipeleka Yanga Kileleni, Yawafunga Fountain Gate 2-0

Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha umeshuhudia mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Fountain Gate FC na... The post Shalulile na Mudathir Waipeleka Yanga Kileleni, Yawafunga Fountain Gate 2-0 appeared first on Global Publishers.

Maziwa yaisha madukani bei ikipanda katika maeneo mengi nchiniખોરાકB2
Taifa LeoAug 31

Maziwa yaisha madukani bei ikipanda katika maeneo mengi nchini

WAKENYA wanakabiliwa na uhaba wa maziwa katika maeneo mbalimbali nchini huku uzalishaji ukipungua na bei kupanda. Takwimu rasmi ya Shirika la Takwimu la Kenya (KNBS) inaonyesha kuwa maziwa yaliyochukuliwa na kuuzwa katika nusu ya kwanza ya 2026 yalipungua kwa asilimia 0.6 hadi lita milioni 513.32 kutoka milioni 516.34 katika kipindi kama hicho mwaka uliopita. Uhaba huo unashuhudiwa Nairobi, Nyeri, Kirinyaga, Embu, Mombasa, Homa Bay, Kisii na maeneo ya Nyanza na Magharibi. Hata hivyo, Kisumu bado ina maziwa ya kutosha katika maduka makubwa, ingawa baadhi ya maduka madogo yaliripoti uhaba na bei ya juu. Jijini Nairobi, nembo ya baadhi ya kampuni maarufu kama Brookside, Mt Kenya, New KCC na Tuzo zimekosekana katika sehemu ya kuuza maziwa kwenye maduka ya Naivas Moi Avenue. Mtaani Donholm, mteja mmoja alisema bei ya pakiti ya maziwa ilipanda hadi Sh75 kutoka Sh60, huku wanunuzi wakiruhusiwa kununua pakiti tano pekee. Willy Kimani, mwanzilishi wa Duka la maziwa la Jaza, alisema wasambazaji wamemweleza kuwa mabadiliko ya hali ya hewa yamesababisha upungufu wa maziwa. “Kile ambacho wawasilishaji wa bidhaa wametuambia ni kwamba hali hii imetokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Wameahidi kuwa hali itarejea kama kawaida mnamo Oktoba,” akasema Bw Kimani. Katika kaunti za Nyeri, Kirinyaga na Embu, nusu lita imepanda hadi Sh48 kutoka Sh44 kutokana na uhaba wa malisho ya mifugo. Wakulima wanaowasilisha maziwa kwa Kampuni ya Maziwa ya Mukurwe-ini, Nyeri wanasema uzalishaji umepungua kutoka lita 80,000 hadi 60,000. Mombasa na maeneo ya Pwani, pakiti ya mililita 500 imefikia Sh75 kutoka Sh60. Wafanyabiashara walisema mahitaji yameongezeka huku wasambazaji wakipunguza kiasi cha maziwa wanachopeleka madukani. Kule Homa Bay, bei ya katoni yenye pakiti 12 za mililita 500 imepanda kutoka Sh620 hadi Sh750. Kisii pia imeripotiwa kukumbwa na uhaba huo huku wauzaji wakipokea kiwango cha chini cha maziwa. - Ripoti za Kabui Mwangi, Gitonga Marete, George Munene, Winnie Atieno, George Odiwuor, Wycliffe Nyaberi na Domnic Ombok

Passengers stranded at Kisumu Airport as aviation workers’ strike enters second dayપ્રેમ અને પરિવારB2
MwananchiAug 31

Passengers stranded at Kisumu Airport as aviation workers’ strike enters second day

Flight disruption leaves several passengers stranded at lakeside city airport.

Video: Makamu wa Rais Awataka Watumishi Kuachana na Kazi kwa MazoeaજીવનA1
Global PublishersAug 31

Video: Makamu wa Rais Awataka Watumishi Kuachana na Kazi kwa Mazoea

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amewataka watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano... The post Video: Makamu wa Rais Awataka Watumishi Kuachana na Kazi kwa Mazoea appeared first on Global Publishers.

Uganda to extradite Kenyans in Dr Mutiso murder probeમિત્રતા અને સંબંધોB2
MwananchiAug 31

Uganda to extradite Kenyans in Dr Mutiso murder probe

Two suspects linked to gangland-style fatal shooting to be handed over to Kenyan authorities.

Huzuni Mfalme Oyo wa Tooro nchini Uganda akifariki; chanzo bado hakijatajwaકલ્પના અને અલૌકિકC1
Taifa LeoAug 31

Huzuni Mfalme Oyo wa Tooro nchini Uganda akifariki; chanzo bado hakijatajwa

KAMPALA, Uganda: MFALME Oyo Nyimba Kabamba Iguru Rukidi IV wa Tooro Uganda alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 34. Waziri Mkuu wa ufalme huo, Calvin Armstrong Rwomiire Akiiki, alitangaza kifo chake Alhamisi usiku. Mfalme huyo alifariki mwendo wa saa nne usiku, bila kilichosababisha mauti yake kusemwa hadharani. Oyo alitwaa ufalme 1995 akiwa na umri wa miaka mitatu, baada ya kifo cha babake, Rukirabasaija Patrick David Matthew Kaboyo Olimi III, na kuwa mfalme mwenye umri mdogo zaidi duniani. Uganda ni jamhuri inayoongozwa na rais aliyechaguliwa, lakini ina falme kadhaa za jadi ambazo zinaendelea kuwa na ushawishi mkubwa wa kitamaduni na kijamii, licha ya uwepo wa utawala wa urais. Tooro iko magharibi mwa Uganda, karibu na mpaka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Akiiki alisema mfalme huyo hakuwa ameoa, lakini aliacha mrithi na mwendelezo wa uzazi wake ambao umehakikishwa. Kifo chake kimezua huzuni kubwa Uganda. Kiongozi wa upinzani Bobi Wine alisema: “Habari za kusikitisha sana! Roho ya Mfalme ipumzike kwa amani ya milele.”

BoT yawataka wasanii kuwa mabalozi wa elimu ya fedhaસમાજ અને વર્તમાન બાબતોC1
JAMHURI MEDIAAug 31

BoT yawataka wasanii kuwa mabalozi wa elimu ya fedha

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka wasanii na wadau wengine wenye ushawishi kwa jamii kuwa mabalozi wa elimu ya matumizi sahihi ya fedha, ikiwemo umuhimu wa kutunza noti na sarafu kwa usahihi. Akizungumza leo, Agosti, 31 2026 jijini Dar es...

Maraga atimiza vitisho, aanika ripoti ya polisi aliyompa Rutoકલ્પના અને અલૌકિકA1
Taifa LeoAug 31

Maraga atimiza vitisho, aanika ripoti ya polisi aliyompa Ruto

JAJI Mkuu Mstaafu David Maraga ameonya kuwa Idara ya Polisi inayopendelea kisiasa inaweza kuingiza Kenya katika machafuko baada ya uchaguzi huku akimtaka Rais William Ruto kutekeleza kikamilifu Katiba. Bw Maraga alisema hayo Jumatatu alipoweka wazi mapendekezo ya Jopokazi kuhusu Mageuzi ya Polisi aliloongoza mnamo 2023. “Polisi wanaoegemea mrengo mmoja kisiasa ndio walikuwa kiini cha ghasia za 2007/2008. Wakenya hawapaswi kusahau kwamba vifungu vya Katiba ya 2010 kuhusu taasisi huru viliandikwa kwa damu hiyo,” akasema Bw Maraga. Wiki iliyopita, Bw Maraga alimpa Rais Ruto makataa ya siku saba kuchapisha ripoti ya jopo kuhusu mageuzi ya polisi iliyowasilishwa kwake, akisema atachapisha mwenyewe iwapo serikali haitafanya hivyo. SOMA PIA: Maraga ampa Ruto siku saba achapishe ripoti iliyopendekeza mageuzi ya polisi lau sivyo aitoe yeye Alisema jopo lilipendekeza idara huru ya polisi ili kukomesha kile alichokiita kutekwa kwa Huduma ya Kitaifa ya Polisi (NPS) na kutumiwa vibaya kwa idara hiyo. Hayo ni miongoni mwa mapendekezo zaidi ya 200 yaliyotolewa na kikosi hicho kulingana naye. Bw Maraga ametaka mapendekezo hayo yote kutekelezwa, yakiwemo kuhakikisha uhuru wa NPS na kubadilisha sare za polisi. Hata hivyo, alisema mabadiliko ya sare hayakuwa jambo la dharura. NPS ilizindua sare mpya wiki iliyopita. Alisema Kenya sasa inashuhudia kile alichowahi kukiita “vurugu za kisiasa zilizopangwa, magenge na polisi wenye misimamo ya kisiasa”. Alitoa mfano huo kutokana na ghasia zilizoshuhudiwa Homa Bay, Keumbu na Ol Kalou, pamoja na visa vya vurugu katika makanisa ya Kisumu, Nairobi na Witima. Katika kisa cha Homa Bay, watu wawili, akiwemo polisi mmoja, waliuawa na wengine 46 kujeruhiwa katika mapigano yaliyovuruga mkutano wa Linda Mwananchi. “Jibu la tatizo hili ni kutii Katiba na Huduma ya Kitaifa ya Polisi lazima iwe huru. Ni hitaji la kuvunja mfumo wa polisi wa kikoloni na kukomesha kutekwa kwa mfumo wa usalama na serikali,” akasema Bw Maraga. Alisema ingawa Katiba iko wazi kuhusu uhuru wa polisi, Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Usalama ya 2014 iliondoa kinga hizo na kusababisha NPS itekwe. Jopo la Bw Maraga lilipendekeza kufutwa kwa marekebisho hayo ya 2014 lakini anadai mapendekezo hayo yalipuuzwa. Alisema pia sheria kuhusu umri iligeuzwa na matokeo yake yakawa kwa faida ya wazi ya kisiasa.

Serikali ichukue hatua hizi kukabiliana na mvua za El Ninoઆરોગ્યA1
JAMHURI MEDIAAug 31

Serikali ichukue hatua hizi kukabiliana na mvua za El Nino

Na Stella Aron, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo kuhusu msimu wa mvua za Vuli 2026, ambao unatarajiwa kuathiriwa kwa kiwango kikubwa na hali ya El Niño. Kwa mujibu wa TMA, mvua za...

Banana Zoro: Sauti ya kipekee iliyotoka katika familia ya muzikiઆરોગ્યA2
HabariLeoAug 31

Banana Zoro: Sauti ya kipekee iliyotoka katika familia ya muziki

KATIKA safari ndefu ya muziki wa Bongo Fleva, yapo majina ambayo yameweza kujenga heshima kutokana na kipaji, ubunifu na uwezo wa kudumu katika mioyo ya mashabiki.Miongoni mwa majina hayo ni mwanamuziki Banana Zoro, anayekumbukwa kwa sauti yake ya kipekee, mtindo wake wa uimbaji na nyimbo zilizogusa maisha ya jamii.

Akili unde kupima saratani ya matitiમિત્રતા અને સંબંધોB2
HabariLeoAug 31

Akili unde kupima saratani ya matiti

TEKNOLOJIA ya akili bandia (AI) imeanza kutumika katika uchunguzi wa saratani ya matiti nchini, baada ya Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) kupata mashine ya kisasa ya mammography yenye uwezo wa kusaidia kubaini mabadiliko ya awali ya ugonjwa huo.

Makosa yaliyozoeleka ya kutumia maneno ‘gonjeka’ na ‘sanasana’પ્રવાસ અને સાહસB2
Taifa LeoAug 31

Makosa yaliyozoeleka ya kutumia maneno ‘gonjeka’ na ‘sanasana’

LUGHA ya Kiswahili kama zilivyo lugha nyingine ina aina mbalimbali za maneno. Mojawapo wa aina hizo za maneno ni kitenzi. Kitenzi ni neno ambalo hutoa taarifa au ujumbe kuhusu jambo lililofanyika au litakalofanywa. Kuna baadhi ya watu wanaowasiliana kwa Kiswahili wenye mazoea ya kuunda kitenzi ‘gonjeka’ kutokana na nomino mgonjwa. Ingawa hakuna neno *gonjeka katika Kiswahili, ni kawaida kulipata katika mawasiliano watu wanapozugumzia mtu ambaye ana maradhi. Aghalabu utakumbana na sentensi kama vile: *Rafiki yangu hakuenda shuleni jana kwa sababu aligonjeka. *Watoto hao waligonjeka baada ya kunywa maji machafu. Ingawa ujumbe katika mifano hii ya sentensi unaeleweka,sentensi zenyenwe si sahihi. Ni kosa kusema mtu aligonjeka. Ili kuzisahihisha sentensi ya kwanza tunafaa kusema: Rafiki yangu hakuenda shuleni jana kwa sababu alikuwa mgonjwa. Vilevile, tunaweza kuisahihisha kwa kusema: Rafiki yangu hakuenda shuleni jana kwa sababu aliugua. Sentensi ya pili itasahihishwa kwa kusema: Watoto hao waliugua baada ya kunywa maji machafu. Pia kuna mazoea ya kuradidi kielezi sana na kuwa ‘sanasana’ ili kulitumia neno hilo katika sentensi kuleta maana ya kusisitiza ukweli. Mara kwa mara utakutana na sentensi kama vile: *Wanafunzi wengi walifaulu katika tathmini ya taifa sanasana katika somo la Kiswahili. Si sahihi kusema sanasana. Ili kuisahihisha sentensi hii tunafaa kusema: Wanafunzi wengi walifaulu katika tathmini ya taifa hasa katika somo la Kiswahili. Pia tunaweza kuisahihisha kwa kusema: Wanafunzi wengi walifaulu katika tathmini ya taifa hususan katika somo la Kiswahili.

Serikali yatoa trilioni  4.7/- kulipa mikopo ya wanafunziમિત્રતા અને સંબંધોC2
JAMHURI MEDIAAug 31

Serikali yatoa trilioni 4.7/- kulipa mikopo ya wanafunzi

Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya Sh.trilioni 4.7 kwa ajili ya mikopo na ruzuku kwa wanafunzi wa elimu ya juu tangu ilipoingia madarakani, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuhakikisha vijana...