首頁/Detail

史瓦希里文「科學與科技」

科學與科技:發現、裝置,以及改變我哋生活方式嘅想法。 按你嘅程度(初學者 至 精通)閱讀同聆聽史瓦希里文,附音頻、翻譯同小測。

關於「科學與科技」嘅史瓦希里文課堂

科學與科技初級
Global Publishers8月31日

Maduro Aonekana kwa Mara ya Kwanza Akiwa Gerezani Marekani

Aliyekuwa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza akiwa ndani ya gereza nchini Marekani, miezi kadhaa... The post Maduro Aonekana kwa Mara ya Kwanza Akiwa Gerezani Marekani appeared first on Global Publishers.

科學與科技初學者
Taifa Leo8月31日

Kalonzo amtaka Rais Ruto kutoa orodha ya walioajiriwa hivi karibuni katika jeshi, polisi

VIONGOZI wa Wiper wamekosoa serikali kwa kile walichosema ni ugavi usio wa haki wa rasilimali, ajira na miradi ya maendeleo nchini. Kiongozi wa chama hicho, Kalonzo Musyoka, amemtaka Rais William Ruto kutoa takwimu za Wakenya walioajiriwa hivi karibuni katika jeshi na polisi, akidai ajira hizo zimegawanywa kwa misingi ya kikabila. Bw Musyoka pia alilaani kushambuliwa kwa viongozi, akimtaka Rais kuwajibika kwa matumizi ya nguvu kupita kiasi na ongezeko la ghasia za kisiasa. Alitaja pia utata kuhusu zabuni ya sare mpya za polisi, madai ya “kuuzwa” kwa nafasi za walimu na mgogoro wa ardhi ya ekari 4,000 Taita Taveta. Mbunge wa Matungulu, Mutinda Mule, alitishia kuishinikiza NCIC kuchunguza madai ya ajira za walimu kutolewa kupitia barua za wanasiasa. Alimtaka Rais Ruto ndani ya siku saba kutoa idadi ya walioajiriwa kwa njia hiyo, la sivyo Wiper itaihusisha NCIC kupitia Bunge. Madai hayo yanaibuka baada ya Spika Moses Wetang’ula kusema baadhi ya wabunge walipelekwa Ikulu kuchukua barua za ajira za walimu, ambazo baadaye ziliuzwa kwa hadi Sh400,000.

科學與科技中級
HabariLeo8月31日

Kanuni ya kikokotoo ni ya wanachama wote wenye sifa

DODOMA; Serikali imesema kanuni ya kikokotoo kwa wastaafu hutumika kwa wafanyakazi wote walioajiriwa sekta ya umma na binafsi. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Deus Sangu ametoa kauli hiyo bungeni leo Agosti 31, 2026 alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Baraza la Wawakilishi, Said Ali Mbarouk aliyehoji serikali ina mpango …

按等級瀏覽史瓦希里文「科學與科技」

其他史瓦希里文主題

關於透過「科學與科技」學史瓦希里文嘅問題

點解要透過「科學與科技」學史瓦希里文?
你關心嘅內容更能吸引你注意,而且相同嘅詞語會喺唔同課堂再出現。就係呢種重複令詞彙記得牢。
「科學與科技」嘅史瓦希里文應該揀邊個等級?
揀你大約十個詞語識得九個嘅等級。每個主題都有由初學者 至 精通嘅課堂,所以你可以由易到難。
呢啲史瓦希里文內容免費嗎?
係。學習係免費嘅,附音頻、翻譯同小測。Premium 加入無限練習同匯出等額外功能。