Розваги мовою «суахілі»
Розваги: кіно, музика, ігри й усе, що ми робимо для задоволення. Читай і слухай мовою «суахілі» на своєму рівні, від від Початківець до Майстерність, з аудіо, перекладом і вікторинами.
Уроки мови «суахілі» на тему «Розваги»
Новини
Дивитися всі (4)Muswada wa mikopo kwa mali zinazohamishika watua bungeni
DODOMA; Serikali imewasilisha bungeni Muswada wa Sheria ya Mikopo kwa Dhamana za Mali Zinazohamishika wa Mwaka 2026. Akiwasilisha bungeni muswada huo leo Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omatr, amesema lengo la kutunga Sheria ya Mikopo kwa Dhamana za Mali Zinazohamishika wa Mwaka 2026 ni kuweka masharti bora ya usimamizi wa mikopo inayopatikana kwa kutumia …
Mwenge wapongeza ujenzi barabara Marahala–MSD
KAGERA: MBIO za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2026 zimepongeza ujenzi wa Barabara ya Marahala–MSD yenye urefu wa kilomita 0.49 iliyojengwa kwa kiwango cha lami wilayani Muleba, mkoani Kagera. Barabara hiyo inatarajiwa kurahisisha mawasiliano na usafirishaji kati ya wananchi wa vijiji vya Magata, Nshamba, Muleba Mjini na Hospitali ya Wilaya ya Muleba, pamoja na kurahisisha …
Shule zatakiwa kuweka kipaumbele Tehama
KAGERA: Serikali imezitaka shule nchini kuweka kipaumbele kwenye mafunzo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa wanafunzi wao ili kwenda sanjari na dunia ya sasa ya utandawazi na teknolojia inayokua kwa kasi. Serikali imeeleza kwa dunia ya sasa teknolojia inakwenda kwa kasi kubwa hivyo shule zinapaswa kuwa na miundombinu bora ya wanafunzi wake kujifunza …
Історії
Дивитися всі (120)Діалоги
Дивитися всі (120)Короткі монологи
Дивитися всі (120)Подкасти
Дивитися всі (12)Розваги
Saikolojia ya Kumpenda Mtu Maarufu Sana
Juma na Amina wanachunguza utamaduni mkali, na wakati mwingine unaovutia kupita kiasi, unaozunguka mashabiki wa watu maarufu. Wanatathmini nini kinachochokea uhusiano wa upande mmoja, pande giza za utamaduni wa 'stan', na kama kuwa shabiki kunaweza kuwa njia nzuri ya kijamii.
Розваги
Usiku wa Karaoke
Juma na Amina wanazungumzia karaoke, njia maarufu ya kufurahia na marafiki. Wanashiriki hadithi za kuchekesha kuhusu kuimba mbele ya watu wengine.
Розваги
Uamsho Usiotarajiwa wa Michezo ya Bodini
Juma na Amina wanachambua uamsho wa kushangaza wa michezo ya mezani katika enzi hii ya kidijitali, wakichunguza kwa nini michezo ya bodini imeacha sifa yake ya zamani na kuwa utamaduni unaostawi wenye wataalamu wake, uchumi, na falsafa ya muundo.
Відео
Дивитися всі (6)
Вище середнього25:09MPAKA HOME: Nimewahi Kumfumania Aunt Ezekiel na Mwanaume Mwingine- Baba Haji
Global TV Online
Майстерність12:29NDANI ya HOSPITALI INDIA: UTUMBO MKUBWA wa CARINA UMEKATWA KARIBU WOTE - ATOKWA MACHOZI AKIELEZEA...
Global TV Online
Елементарний11:11HARMONIZE Alivyomwaga Machozi Kisa DIAMOND - KUSINIGHT
Global TV Online