ความบันเทิงในสวาฮีลี

ความบันเทิง: ภาพยนตร์ ดนตรี เกม และสิ่งที่เราทำเพื่อความสนุก อ่านและฟังเป็นสวาฮีลีตามระดับของคุณ ตั้งแต่ ผู้เริ่มต้น ถึง ระดับเชี่ยวชาญ พร้อมเสียง คำแปล และควิซ

บทเรียนสวาฮีลีเรื่องความบันเทิง

ความบันเทิงระดับกลางตอนปลาย
HabariLeo31 ส.ค.

Muswada wa mikopo kwa mali zinazohamishika watua bungeni

DODOMA; Serikali imewasilisha bungeni Muswada wa Sheria ya Mikopo kwa Dhamana za Mali Zinazohamishika wa Mwaka 2026. Akiwasilisha bungeni muswada huo leo Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omatr, amesema lengo la kutunga Sheria ya Mikopo kwa Dhamana za Mali Zinazohamishika wa Mwaka 2026 ni kuweka masharti bora ya usimamizi wa mikopo inayopatikana kwa kutumia …

ความบันเทิงระดับสูง
HabariLeo31 ส.ค.

Mwenge wapongeza ujenzi barabara Marahala–MSD

KAGERA: MBIO za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2026 zimepongeza ujenzi wa Barabara ya Marahala–MSD yenye urefu wa kilomita 0.49 iliyojengwa kwa kiwango cha lami wilayani Muleba, mkoani Kagera. Barabara hiyo inatarajiwa kurahisisha mawasiliano na usafirishaji kati ya wananchi wa vijiji vya Magata, Nshamba, Muleba Mjini na Hospitali ya Wilaya ya Muleba, pamoja na kurahisisha …

ความบันเทิงระดับเชี่ยวชาญ
HabariLeo30 ส.ค.

Shule zatakiwa kuweka kipaumbele Tehama

KAGERA: Serikali imezitaka shule nchini kuweka kipaumbele kwenye mafunzo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa wanafunzi wao ili kwenda sanjari na dunia ya sasa ya utandawazi na teknolojia inayokua kwa kasi. Serikali imeeleza kwa dunia ya sasa teknolojia inakwenda kwa kasi kubwa hivyo shule zinapaswa kuwa na miundombinu bora ya wanafunzi wake kujifunza …

ความบันเทิงในสวาฮีลีตามระดับ

หัวข้อสวาฮีลีอื่น ๆ

คำถามเกี่ยวกับการเรียนสวาฮีลีผ่านเรื่องความบันเทิง

ทำไมต้องเรียนสวาฮีลีผ่านเรื่องความบันเทิง
เนื้อหาที่คุณสนใจช่วยรักษาความสนใจไว้ได้ และคำเดิมจะกลับมาในหลายบทเรียน การทบทวนซ้ำนี้เองที่ทำให้จำคำศัพท์ได้
ควรเลือกระดับไหนสำหรับความบันเทิงในสวาฮีลี
เลือกระดับที่คุณเข้าใจประมาณเก้าในสิบคำ ทุกหัวข้อมีบทเรียนตั้งแต่ ผู้เริ่มต้น ถึง ระดับเชี่ยวชาญ คุณจึงเริ่มจากง่ายแล้วค่อยขยับขึ้นได้
เนื้อหาสวาฮีลีนี้ฟรีไหม
ฟรี การเรียนฟรีพร้อมเสียง คำแปล และควิซ ส่วน Premium เพิ่มสิ่งพิเศษ เช่น ฝึกได้ไม่จำกัดและการส่งออก