Suahilisht: niveli Mjeshtëri
Mjeshtëri është zotërim i suahilisht: kupton pothuajse gjithçka dhe vë re nuancat, humorin dhe regjistrin. Këto mësime përdorin tekste të pasura me idioma për të lëmuar detajet më të holla të gjuhës.
Çfarë mund të bësh në mjeshtëri
- Kupton pothuajse gjithçka që lexon ose dëgjon.
- Përmbledh informacion nga burime të ndryshme.
- Shpreh me saktësi nuanca të holla kuptimi.
Rreth 16.000 fjalë dhe afërsisht 1.000–1.200 orë studimi për ta arritur këtë nivel.
Mësime suahilisht për mjeshtëri
Lajme
Shiko të gjitha 11
SportetMjeshtëriSoma Gazeti la Jamhuri Septemba 1-7, 2026
MiqësiaMjeshtëriSerikali yatoa trilioni 4.7/- kulipa mikopo ya wanafunzi
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya Sh.trilioni 4.7 kwa ajili ya mikopo na ruzuku kwa wanafunzi wa elimu ya juu tangu ilipoingia madarakani, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuhakikisha vijana...
Alia kutengwa sababu ya kazi yake ya kupamba maiti
WAHUDUMU wa wanaopamba miili ya waliokufa wameeleza changamoto wanazopitia katika jamii kutokana na unyanyapaa. Bi Margaret Santa Thoya, 26, mkazi wa kijiji cha Muyeye kilicho Malindi, Kaunti ya Kilifi ambaye hutekeleza ulimbwende kwa waliokufa anasema kuwa urembeshaji anaoufanya husaidia kuboresha au kuipa maiti muonekano wa utulivu bila wengine kuogopa wanapoitazama. Ni kupitia ujuzi wake ambapo hujipatia kati ya Sh1,500 na Sh7000 kwa kila kandarasi moja anayopata. Malipo yake huyakadiria kulingana na hadhi au tabaka la familia husika, umri wa mwendazake na mfumo au namna ambayo familia husika itapendekeza mpendwa wao apambwe. Amedumu katika kazi hiyo ya kupamba maiti kwa zaidi ya miaka minne sasa. Alikamilisha masomo yake ya darasa la nane (KCPE) 2016 katika shule ya msingi ya Karima iliyoko viungani mwa mji wa Malindi. Hakufaulu kuendeleza masomo yake ya juu kwani mama yake aliachwa mjane. Aliwahi kufanya kazi katika saluni mjini Malindi, hivyo kupokea ujuzi wa kazi za urembo. “Kuna siku ambapo niliraiwa na familia moja kwenda mochari Malindi kuwarembeshea mpendwa wao mwanamke aliyekuwa ameaga. Nilijikaza na kuitekeleza kazi hiyo vyema, hivyo nikalipwa fedha nzuri. Tangu hapo nikaamua kujiingiza mzimamzima kwenye nyanja hii ya kurembesha maiti,” akafichua Bi Santa. Licha ya kujijengea jina kubwa katika kazi yake, kinachomsikitisha binti huyu ni jinsi baadhi ya wanajamii wanavyomtenga au kumsuta ilihali wengine wakiogopa kutangamana naye. Analalamika kuwa miaka yote amekosa mume wa kumchumbia kwani wengi wao punde wanapomuona humtoroka huku wakimbandika majina ya ‘Maggie wa Mochari.’ “Sijapata mwanamume jasiri aliyewahi kunifuata kunichumbia. Wengi hawataki. Kuna ambao hata kuzungumza nami au kunisalimia ni shida. Wakiniona kwa mbali utasikia wakinisuta eti ni yule ‘madam wa mochari.’ Wengine hutoroka au kunipisha njia kwa mbali wakihisi mimi ni nuksi maishani kwa maamuzi yangu ya kutangamana na kurembesha maiti,” akasema. Tatizo lake hata hivyo haliwakumbi wanawake pekee wanaojihusisha na taaluma kama yake. Bw Samson Karisa, mkazi wa mjini Kilifi alilazimika kuhamia mjini Malindi, karibu kilomita 61 kutoka kwao ilmuradi ajihusisha na biashara ya kurembesha maiti. Anakiri kutekeleza jukumu lake kwa usiri mwingi kwani mamake mzazi, mkewe na wanawe wawili hawafahamu ni kazi gani hasa yeye hujihusisha nayo maishani kuleta mapato nyumbani. Amekuwa akilipwa ili kurekebisha majeraha hasa endapo marehemu alipata ajali. Yeye hutumia nta spesheli kuziba na kujenga upya sehemu zilizoharibika za mwili ili kuzipa mwonekano ufaao. “Pia humvalisha nguo marehemu na kumweka katika jeneza kwenye pozi la kulala kwa amani, kuipanga mikono vizuri katika hali ya kawaida kifuani au tumboni,” akaeleza Bw Karisa. Kutokana na kazi yake, jamii ya mjini Malindi tayari imembandika jina la ‘Karisa wa Kifa,’ Kiswahili Karisa wa Kifo. Wataalamu wa saikolojia wanasema yale ambayo wawili hao wanapitia yanatokana na imani na desturi za jamii nyingi ambazo huamini chochote kinachohusiana na kifo huwa na mabaya. Hata hivyo, jamii iliombwa itambue kuwa, kuna aina nyingi za kazi ambazo zinahusu masuala ya kifo.
Tregime
Shiko të gjitha 320Dialogje
Shiko të gjitha 320Fjalime të shkurtra
Shiko të gjitha 320Podcaste
Shiko të gjitha 10Edukimi
Kushindwa kama Mtaala
Juma na Amina wanachunguza jukumu la kushangaza ambalo kushindwa kunacheza katika kujifunza kwa kweli, wakitegemea utafiti wa kiakili, matatizo ya kibinafsi, na mitazamo ya kitamaduni kuhusu makosa. Wanachunguza kwa nini mifumo ya elimu mara nyingi huadhibu kushindwa badala ya kukitumia kama zana ya kuaminika zaidi kwa mwalimu.
Biznesi dhe karriera
Kuchunga Paka: Kusimamia Timu Yenye Vizazi Tofauti
Neema anasimamia timu ndogo ya uzalishaji yenye uzoefu wa miongo kadhaa, kuanzia mhandisi wa sauti mwenye uzoefu mkubwa hadi mtayarishaji mdogo aliyehitimu hivi karibuni. Yeye na Juma wanajadili kinachohitajika kuongoza timu yenye vizazi tofauti kwa ufanisi.
Ardhja e moshës madhore
Kujifunza Kuishi Kwa Ujitegemeo
Juma na Amina wanachambua kazi ya kimya na isiyo ya kushangaza ya ujitegemeo halisi, wakitofautisha na kuishi peke yako tu, na kufuatilia mabadiliko yao ya polepole kutoka kwa hofu hadi uwezo wa kupanga mapema katika kupika, fedha, na maisha ya kijamii.
Video
Shiko të gjitha 17
Mjeshtëri17:56CHIDI BENZ : ALIKIBA MKALI SANA HAJAWAHI KUONYESHA DEMU WAKE/DIAMOND ILIBIDI ATENGENEZE MUONEKANO
EastAfricaTV
Mjeshtëri16:48BI. KIDUDE ALIILOGA DUNIA NZIMA/ AKAIPAKA MAHABA YA MUZIKI WAKE MTAMU (Maisha ya Bi. Kidude)
Wasafi Media
Mjeshtëri12:29NDANI ya HOSPITALI INDIA: UTUMBO MKUBWA wa CARINA UMEKATWA KARIBU WOTE - ATOKWA MACHOZI AKIELEZEA...
Global TV Online
Suahilisht mjeshtëri sipas temave
Nivele të tjera të suahilisht
Nuk je i sigurt se ky është niveli yt?
Bëj testin e shkurtër të vendosjes dhe do të sugjerojmë ku të fillosh.
Bëj testin e nivelit