ホーム/Detail

スワヒリ語で旅行

旅行:旅、場所、交通、道中で必要なフレーズ。 初級〜熟達のあなたのレベルで、スワヒリ語を読み、聞こう。音声、翻訳、クイズ付き。

旅行に関するスワヒリ語レッスン

旅行中級
Mwananchi8月31日

Enhance watchdog role

Committees review and expose flaws that could easily have been missed during the main debate.

旅行上級
Taifa Leo8月31日

Makosa yaliyozoeleka ya kutumia maneno ‘gonjeka’ na ‘sanasana’

LUGHA ya Kiswahili kama zilivyo lugha nyingine ina aina mbalimbali za maneno. Mojawapo wa aina hizo za maneno ni kitenzi. Kitenzi ni neno ambalo hutoa taarifa au ujumbe kuhusu jambo lililofanyika au litakalofanywa. Kuna baadhi ya watu wanaowasiliana kwa Kiswahili wenye mazoea ya kuunda kitenzi ‘gonjeka’ kutokana na nomino mgonjwa. Ingawa hakuna neno *gonjeka katika Kiswahili, ni kawaida kulipata katika mawasiliano watu wanapozugumzia mtu ambaye ana maradhi. Aghalabu utakumbana na sentensi kama vile: *Rafiki yangu hakuenda shuleni jana kwa sababu aligonjeka. *Watoto hao waligonjeka baada ya kunywa maji machafu. Ingawa ujumbe katika mifano hii ya sentensi unaeleweka,sentensi zenyenwe si sahihi. Ni kosa kusema mtu aligonjeka. Ili kuzisahihisha sentensi ya kwanza tunafaa kusema: Rafiki yangu hakuenda shuleni jana kwa sababu alikuwa mgonjwa. Vilevile, tunaweza kuisahihisha kwa kusema: Rafiki yangu hakuenda shuleni jana kwa sababu aliugua. Sentensi ya pili itasahihishwa kwa kusema: Watoto hao waliugua baada ya kunywa maji machafu. Pia kuna mazoea ya kuradidi kielezi sana na kuwa ‘sanasana’ ili kulitumia neno hilo katika sentensi kuleta maana ya kusisitiza ukweli. Mara kwa mara utakutana na sentensi kama vile: *Wanafunzi wengi walifaulu katika tathmini ya taifa sanasana katika somo la Kiswahili. Si sahihi kusema sanasana. Ili kuisahihisha sentensi hii tunafaa kusema: Wanafunzi wengi walifaulu katika tathmini ya taifa hasa katika somo la Kiswahili. Pia tunaweza kuisahihisha kwa kusema: Wanafunzi wengi walifaulu katika tathmini ya taifa hususan katika somo la Kiswahili.

旅行中級
Global Publishers8月31日

Miamba ya Ulaya Uwanjani Barça na Arsenal Kusaka Ushindi Leo

Mechi kali zinatarajiwa kupigwa kwenye viwanja mbalimbali huku tayari Meridianbet wakiwa wamekuwekea Odds za kuvutia. Je nani unampendelea zaidi kukupatia... The post Miamba ya Ulaya Uwanjani Barça na Arsenal Kusaka Ushindi Leo appeared first on Global Publishers.

レベル別のスワヒリ語で旅行

ほかのスワヒリ語のテーマ

旅行でスワヒリ語を学ぶことに関するよくある質問

なぜ旅行でスワヒリ語を学ぶのですか?
好きな内容なら興味が続き、同じ単語が別のレッスンにも繰り返し出てきます。その繰り返しが、語彙の定着につながります。
スワヒリ語の旅行は、どのレベルを選べばいいですか?
10語のうち9語くらいがわかるレベルを選びましょう。どのテーマにも初級〜熟達のレッスンがあるので、やさしいものから始めてステップアップできます。
このスワヒリ語コンテンツは無料ですか?
はい。学習は無料で、音声、翻訳、クイズ付きです。Premiumでは、無制限の練習やエクスポートなどが追加されます。