Επιστήμη & τεχνολογία στα Σουαχίλι
Επιστήμη και τεχνολογία: ανακαλύψεις, συσκευές και ιδέες που αλλάζουν τον τρόπο που ζούμε. Διάβασε και άκου στα Σουαχίλι στο επίπεδό σου, από Αρχάριος έως Εξειδίκευση, με ήχο, μετάφραση και κουίζ.
Μαθήματα Σουαχίλι για το θέμα Επιστήμη & τεχνολογία
Ειδήσεις
Δες και τα 4
Επιστήμη & τεχνολογίαΣτοιχειώδεςMaduro Aonekana kwa Mara ya Kwanza Akiwa Gerezani Marekani
Aliyekuwa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza akiwa ndani ya gereza nchini Marekani, miezi kadhaa... The post Maduro Aonekana kwa Mara ya Kwanza Akiwa Gerezani Marekani appeared first on Global Publishers.
Kalonzo amtaka Rais Ruto kutoa orodha ya walioajiriwa hivi karibuni katika jeshi, polisi
VIONGOZI wa Wiper wamekosoa serikali kwa kile walichosema ni ugavi usio wa haki wa rasilimali, ajira na miradi ya maendeleo nchini. Kiongozi wa chama hicho, Kalonzo Musyoka, amemtaka Rais William Ruto kutoa takwimu za Wakenya walioajiriwa hivi karibuni katika jeshi na polisi, akidai ajira hizo zimegawanywa kwa misingi ya kikabila. Bw Musyoka pia alilaani kushambuliwa kwa viongozi, akimtaka Rais kuwajibika kwa matumizi ya nguvu kupita kiasi na ongezeko la ghasia za kisiasa. Alitaja pia utata kuhusu zabuni ya sare mpya za polisi, madai ya “kuuzwa” kwa nafasi za walimu na mgogoro wa ardhi ya ekari 4,000 Taita Taveta. Mbunge wa Matungulu, Mutinda Mule, alitishia kuishinikiza NCIC kuchunguza madai ya ajira za walimu kutolewa kupitia barua za wanasiasa. Alimtaka Rais Ruto ndani ya siku saba kutoa idadi ya walioajiriwa kwa njia hiyo, la sivyo Wiper itaihusisha NCIC kupitia Bunge. Madai hayo yanaibuka baada ya Spika Moses Wetang’ula kusema baadhi ya wabunge walipelekwa Ikulu kuchukua barua za ajira za walimu, ambazo baadaye ziliuzwa kwa hadi Sh400,000.
Kanuni ya kikokotoo ni ya wanachama wote wenye sifa
DODOMA; Serikali imesema kanuni ya kikokotoo kwa wastaafu hutumika kwa wafanyakazi wote walioajiriwa sekta ya umma na binafsi. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Deus Sangu ametoa kauli hiyo bungeni leo Agosti 31, 2026 alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Baraza la Wawakilishi, Said Ali Mbarouk aliyehoji serikali ina mpango …
Ιστορίες
Δες και τα 120Διάλογοι
Δες και τα 120Σύντομες ομιλίες
Δες και τα 120Podcasts
Δες και τα 4Επιστήμη & τεχνολογία
Programu Ninazotumia Kila Siku
Juma na Amina wanazungumza kuhusu programu za simu wanazotumia kila siku, kama ramani, hali ya hewa, na tafsiri. Wanashiriki hadithi rahisi za kila siku.
Επιστήμη & τεχνολογία
Teknolojia Inayovaliwa: Saa Zinazotuangalia
Juma na Amina wanazungumza kuhusu teknolojia inayovaliwa kama saa janja na vifaa vya kufuatilia afya. Wanashiriki hadithi za kufuatilia hatua, usingizi, na mapigo ya moyo katika maisha ya kila siku.
Επιστήμη & τεχνολογία
Mitandao ya Kijamii na Umakini Wetu
Juma na Amina wanazungumza jinsi programu kama Instagram na TikTok zinavyojaribu kushika umakini wetu. Wanashiriki hadithi zao kuhusu muda wa kutumia simu na jinsi wanavyojaribu kutumia mitandao ya kijamii kwa njia nzuri zaidi.
Βίντεο
Δες και τα 7
Προχωρημένο18:25MANARA AUPONDA VIBAYA USAJILI WA YANGA, SIMBA "WANAWAPIGA MATAJIRI, WACHEZAJI 10 KILA MSIMU"
Wasafi Media
Αρχάριος20:49A HEAVY FIGHT between LISSU vs GOVERNMENT ATTORNEY - THEY FIGHT EACH OTHER IN FRONT OF THE JUDGE ...
Global TV Online
Εξειδίκευση16:48BI. KIDUDE ALIILOGA DUNIA NZIMA/ AKAIPAKA MAHABA YA MUZIKI WAKE MTAMU (Maisha ya Bi. Kidude)
Wasafi Media